Thursday, July 26, 2012

Coming Soon at FK's CollectionKwa wale wateja wetu wa FK's Collection Boutique ambayo ipo pale  Baraka Plaza , Mikocheni B, Dar-es-Salaam, Tanzania ningependa kuwajulisha kuwa FK's collection inatarajiwa kushusha mzigo mpya siku zijazo. Kama umependa huo muonekano hapo juu na vile vile mionekano mingine mingi tu ya Kifashionjunkii, kiofisi, mambo ya Cocktail parties, mitoko ya dates na mengineyo  mingi itakuwapo. Msimkose kupitia hapo kuchungulia ni nini FK's Collection imewaandalia kwa wale mpendao kujipenda. FK's collection tunajulikana kwa bidhaa zenye quality nzuri straight from New York. Karibuni sana.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu :  +255774882677  OR  +255688333330